Nauza simu original LG G3 kwa bei nzuri

Mrs S

JF-Expert Member
Mar 18, 2017
286
90
Simu ya line moja iko vizur kabsa aina tatizo kabsa
Gb 32
Ram 3gb
Camera 13megapixel
Kwa tsh 400000 mazungumzo yapo ni made in korea
20170302_133504.jpg
20170302_133512.jpg
 
Hii G3 unauza laki nne ni mpya mkuu au used?....Kama mpya budget ipo 380K na kama used offer yangu ni 200K.
Kwa bajeti yako hyo kiongoz ngoja nikienda ntakuambia ntakuchukulia simu ya bei hyo unayotaka kiongoz utanipa advance nikitua na mzigo unakuja malizia na kuchukua simu yako
 
Back
Top Bottom