Bitabo JF-Expert Member Joined Sep 27, 2011 Posts 1,900 Reaction score 690 Nov 9, 2014 #1 wadau salaam nina simu mbovu kama 5 hivi kama kuna mnunuzi au anayemfahamu ambaye ananunua simu mbovu anitonye.
wadau salaam nina simu mbovu kama 5 hivi kama kuna mnunuzi au anayemfahamu ambaye ananunua simu mbovu anitonye.
TMAN8 Senior Member Joined May 25, 2012 Posts 165 Reaction score 41 Nov 10, 2014 #2 Simu mbovu za aina gani? Ubovu wake nini? Na kwa bei gani?
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Nov 10, 2014 #3 Bitabo said: wadau salaam nina simu mbovu kama 5 hivi kama kuna mnunuzi au anayemfahamu ambaye ananunua simu mbovu anitonye. Click to expand... Mi nahitaji samsung s3 mbovu ili nipate touch coz hii imekreki.
Bitabo said: wadau salaam nina simu mbovu kama 5 hivi kama kuna mnunuzi au anayemfahamu ambaye ananunua simu mbovu anitonye. Click to expand... Mi nahitaji samsung s3 mbovu ili nipate touch coz hii imekreki.