Nauza simu ideos kwa 105,000

Nauza simu ideos kwa 105,000

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
Nooo hii siyo picha ya simu nayoiuza hii ninyingine ila model ni hii.
 

Attachments

  • ideos.jpg
    ideos.jpg
    21.9 KB · Views: 79
Nikupe simu yangu Lg Gu285,niliagiza nairobi,kama vp ni pm
 
hahaha ngosha ngosha kweli umehangaika na lg yako hadi uwa nacheka kila nkiona

Hahaaa hata mimi nimemshangaa huyu jamaa maana nimeona kwenye post za watu wengi yeye na LG yake.
 
jamani sio hvyo ipo poa sana but nilipewa tu,na mimi napenda simu yenye umbo kubwa kidogo,ndio maana unaona nahangaika kwenye post mbali mbali,msijali wakubwa
 
Unayeuza simu ya ideos nadhani ni bora utoe contact zako tukupigie mkubwa.. au waonaje??
 
ongea nae vizuri hiyo itakuwa bei ya kuanzia nusu yake atakuwa anauza!
 
Mimi nina 60 ndugu ni pm nikutafute tumalize hiyo biashara.
 
Back
Top Bottom