Nauza simu aina ya Tecno J8; Imeshatumika ila kama mpya

Nauza simu aina ya Tecno J8; Imeshatumika ila kama mpya

Fwambwa

Member
Joined
May 31, 2018
Posts
51
Reaction score
10
Sim iko pow
Imetumiwa for two months
Ram 2 GB
16 GB
Bei ni Tsh 185,000
Ina kava lake
IMG-20180531-WA0002.jpg
IMG-20180531-WA0004.jpg
IMG-20180530-WA0026.jpg
IMG-20180531-WA0001.jpg
 
We dukani uliinunua bei gani??
 
mimi ni jogoo kindaki ndaki toa kwanza hyo picha ya huyo muingereza tunaharibiana swaumu
Alafu kama ni mpya rudisha tu dukani
 
Kama mpya lakini siyo mpya

Ahaya wateja wanakuja
 
Back
Top Bottom