Tindikali
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 2,128
- 2,914
Simu ni nzuri sana toka nnje ya nchi,
simu sio korosho, hakuna ambayo inatoka ndani ya nchi
punguza bei, iphone 6 tena sio hata plus ina gb 16 used kwa laki 7.5 hata jeshi hawatanunua
Simu ni nzuri sana toka nnje ya nchi,
Inategemea na mda uliyoitumia pia na matumizi yako! Si lazima tufananeAngalia vizuri bei yako mkuuView attachment 943040
Majanga yapi mkuu fafanua kidogo tupate elimu.Ukinunua iphone 16 gb
Ni full majanga atleast kuanzia 32 gb inakua imetulia.nadhani ndo maaana muuzaji kaishindwa