Nauza simu aina ya iPhone 6S, Nzuri sana, bei nzuri

Nauza simu aina ya iPhone 6S, Nzuri sana, bei nzuri

Simu jina,unanunua simu unajikuta zaidi ya kuingia insta sijui Facebook na kidoogo JamiiForums hakuna kingine unachoweza kufanya.

Note:sijaisema vibaya hiyo brand naomba nisieleweke tofauti!
Nayo ni mawazo
 
Nilipe kodi ya nyumba au ninunue hii simu? Mtoa post naomba ushauri
 
Ukinunua iphone 16 gb
Ni full majanga atleast kuanzia 32 gb inakua imetulia.nadhani ndo maaana muuzaji kaishindwa
 
Ukinunua iphone 16 gb
Ni full majanga atleast kuanzia 32 gb inakua imetulia.nadhani ndo maaana muuzaji kaishindwa
Sio kushindwa ila nilisafiri! Nimerudi upya! Mana kuna waliokua wamefika bei nikawa niko mbali! Nimerudi naona mambo yao ni mang’ana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom