Bubble bath.ukioga ndani ya bathtub maji yako ukiyatia Sabuni ya bubble bath yanatoa mapovu mengi tofauti na shower gel ingawa nayo ina mapovu.disadvantage ya hizo sabuni unatumia maji mengi kuhakikisha ngozi yako haijabaki na sabuni.unajikuta unajisugua wee sabuni ipo mwilini