Pritty wa joseph
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 2,379
- 2,051
Faida ya kutumia Shower gel hii ni nini
Kusoftisha ngozi, kukata jasho Kali, kukukinga na sunburnFaida ya kutumia Shower gel hii ni nini
Oh sawa.inaongeza nguvu ya kiume/kike
Nasikia inaongeza uwaraza.
Kwahiyo ukishaogea Shower gel hupaki mafuta?
Ndugu sina duka it's a moving shopDukani kwako wapi nije kukuungisha?
-Ndumilakuwili-
Ok nimeona mawasiliano yako hapo juu ndafanya kukucheki.
Ok nimeona mawasiliano yako hapo juu ndafanya kukucheki.
KaribuOk nimeona mawasiliano yako hapo juu ndafanya kukucheki.
-Ndumilakuwili-
mbembwe tu ngozi ya binadamu iko perfect inafanya kazi vizuri sana