Kaka lipo shamba Dabaga Iringa Heka 200....linauzwa,kila heka Tsh 100,000/= nikaona naibiwa hapo,nikaomba maelekezo ya eneo lilipo shamba,nikafunga safari kwa siri....kufika huko ni kijiji kizima being ni 80,000/= mpaka 60,000/= kwa hiyo being niliyoogopa ni kubwa kwa huko.....mkuu sio hivyo unavyozani,kupanda kwa Ardhi kupo ila sio Vijijini