Nauza shamba langu

Nauza shamba langu

Kitabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
313
Reaction score
29
Wakuu nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari moja,(mita 70x70) lipo Buma kiromo bagamoyo.ni shamba zuri na tambarare.Kwa mwenye kuhitaji au maswali apige namba 0717 166455
 
EPZ ipo zinga boss,waweza fika ofisi za halmashauri ya bagamoyo kupata uhakika.
Mkuu Mjema Juniour, maeneo kuzunguka hotel ya kiromo yapo chini ya mradi wa EPZ na watu wameambiwa wasiyaendeleze. Na ka eka kumi eneo hilo na najua ninalolisemea kwani napakana na hiyo hotel. Ni angalizo tu...mtu anaweza kuamua kujilupua.
 
Ni vema kutoa angalizo Mkuu,mimi ninaifahamu hiyo ramani ya EPZ,haijafika kiromo,imechukua eneo la Zinga,pande hadi Mlingotini.hata hivyo eneo ninalouza lipo KIJIJI CHA BUMA.Kama nia yako ni njema tafadhali lizungumze hili bila kulipindisha.Asante
 
Kwanini unaogopa kuweka Bei lakini?
Mkuu unadhani kuweka bei inatisha au kuogopesha..?nimeweka Mawasiliano hapo,Kwa mwenye nia ya dhati awasiliane nami,wapo watu kadhaa tayari wamefanya hivyo.Shamba hilo linahati za serikali ya Mtaa tokea MWAKA 2011.Nilifuata taratibu zote za serikali ya Mtaa,ikiwemo kulipia ushuru.
 
Wakuu nauza shamba langu lenye ukubwa wa ekari moja,(mita 70x70) lipo Buma kiromo bagamoyo.ni shamba zuri na tambarare.Kwa mwenye kuhitaji au maswali apige namba 0717 166455
Wakuu Kwa wanaoifahamu Buma,shamba/Kiwanja hicho kipo mita mia tano hivi tokea ofisi ya Mtaa
 
Mkuu unadhani kuweka bei inatisha au kuogopesha..?nimeweka Mawasiliano hapo,Kwa mwenye nia ya dhati awasiliane nami,wapo watu kadhaa tayari wamefanya hivyo.Shamba hilo linahati za serikali ya Mtaa tokea MWAKA 2011.Nilifuata taratibu zote za serikali ya Mtaa,ikiwemo kulipia ushuru.

Umejitahidi sana kujibu hoja ya Kiromo kua chini ya EPZ au lah. But linpokuja suala la bei unakua bubu, huonyeshi ushirikiano, NINI UNAFICHA??????????
 
Kumbe ulikuwa unatafuta ushindi Mkuu,loh sikujua.Kama unahitaji shamba nipigie.wengine wenye nia washafanya hivyo.Nahitaji wenye nia ya kununua,sio wanaotafuta kushindana Kwa hoja
 
Weka mambo hadharani, bei plz
Kama nia nikununua namba hii hapa Mkuu,labda hiyo hapo juu hujaiona(0717 166455)labda uwe nania ya kusoma matangazo tu.(yawezekana nisiwe mzuri kwenye mambo ya biashara,lakini Kwa mwenye nia kanielewa.)
 
Kumbe ulikuwa unatafuta ushindi Mkuu,loh sikujua.Kama unahitaji shamba nipigie.wengine wenye nia washafanya hivyo.Nahitaji wenye nia ya kununua,sio wanaotafuta kushindana Kwa hoja

Ushindi upi mkuu??
We weka bei watu wakupigie!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom