NAUZA SHAMBA LANGU MKURANGA

Kitope

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
236
58
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu, kimfaacho mtu chake,. Shamba lina ukubwa wa eka 25, lipo mkuranga kilometer 10 kutoka barabara kuu ya Dar - Lindi. shamba bado virgin na mazao yaotao huko ni mengi ikiwemo mihogo, na mazao mengine ya mboga na matunda. Gari inafika shambani . kwa maelezo zaidi ama maswali yote yanakaribishwa. bei kwa eka ni laki nne (400,000) na wazo langu ni kwamba ningependelea mteja atakayenunua lote na sio kuuza eka moja moja. shamba lilipo sio mbali na mto kwa umwagiliaji . naliuza shamba hili kama mmiliki na bila udalali. ikiwa mhitaji wa shamba tuandiikie private message kwa mawasiliano zaidi. shukran
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom