Nauza shamba la mitiki

Nauza shamba la mitiki

PAPA OBAMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2013
Posts
204
Reaction score
87
Ni hekari 5 lina jumla ya miti 3500 yenye umri wa miaka 8 lipo Matombo Morogoro bei 120million kwa aliye serious anione pm
 
weka picha za kutosha, ukianzia na za jumla na close ups za baadhi ya miti as well as cross sections katikati ya shamba lenyewe
 
Da tatizo namna ya kupost pics shida ntastrugle kuziweka ila liko ktk hali nzuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom