Nauza shamba la migomba

Nauza shamba la migomba

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,650
Reaction score
20,993
Wakuu, lile shamba nilisema nauza 10m nimepunguza bei sasa ni 7.3m. Nimeanza na Kujenga kibanda cha mfanyakazi badi kuezeka. Lipo Mbeya.Mbarali. Ni hekari 2.75.
20181029_164925.jpg
20180920_160044.jpg

20180901_171338.jpg
 

Attachments

  • 20181206_091403.jpg
    20181206_091403.jpg
    287.8 KB · Views: 63
20181206_091403.jpg


Hiki kibanda bado kuezeka. mkuu Malila hauna connection nipate mteja?
 
Vipi mkuu? karibu tupige business. Hili eneo hata maparachichi yanastawi. Unaweza ukapiga na maparachichi humo ndani. Yanaweza kaa kama 300 hivi. Mi linanisumbua kusimamia nataka nikafungue business nyingine.
 
za siku mkuu,
Liko Mbalari kijiji gani mkuu?
Nzuri, bado tunapambana, Igurusi. 2.5km kutoka lami. Upande wa kushoto kama unaenda Mbeya. Gari inafika hadi shambani.
 
January hii napandisha huko. Je naweza kuliona shamba mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom