nauza shamba la eka kumi milion 60 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nauza shamba la eka kumi milion 60

Discussion in 'Matangazo madogo' started by mama cha, Feb 15, 2012.

 1. m

  mama cha Senior Member

  #1
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lipo lugwagu km 7 kutoka barabara ya lami iendayo kongowe kituo cha mwembe mtengu. Unaweza kupitia ferry ambo ni km 20 kutoka kivukoni hadi kwenye junction ya kuingia shambani na km 4 kutoka kongowe pm kwa sereous buyer
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mwembe mtengu kwenye mapikipiki mengi hapo,njia ya hapo bondeni inapitika kweli?
   
 3. m

  mama cha Senior Member

  #3
  Feb 15, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena imesawazishwa na katapila njoo uione
   
Loading...