Nauza shamba/kiwanja - Bagamoyo

Nauza shamba/kiwanja - Bagamoyo

nosspass

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
5,815
Reaction score
4,791
Ni eneo zuri linalofikika kwa urahisi sana, baada ya kuvuka daraja linalotenganisha DSM na Coast region,,mkono wa kushoto kutokea dar,,,, MINGOI rd, kama mita 600 frm the main rd.......piga namba hii 0754 427 819.... karibuni....
 
mkuu unapotoa tangazo jaribu kuweka data zote muhimu kuepusha maswali na kupata mteja aliyeko serious.
​ukbwa wa hilo shamba, lina minazi au ni plain.....
 
hiyo invitation mtu mwenye nia nalo sinamba imewekwa!sema wabongo mnapenda udalali kilasehem....
 
namba ipo hapo bro,,, if u r interested why don't u call,, or just sms introduce urself, i wll call u bak brother.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom