Nauza shamba kiwangwa

Mezya

New Member
Nov 26, 2012
3
1
Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 70 liko Kiwangwa kijiji cha Lugogo kila ekari ni Tshs 600,000/= maelewano yapo. Umbali wa Km 4 toka barabara ya lami Msatta - Dar, gari inafika hadi shambani Ni eneo zurikwa kilimo cha mananasi, mbaazi, n.k. Wasiliana nami 0682 110110
 
bei za maeneo ya kulima mananasi ndiyo hizo cha msingi wewe toa offer yako ili nione kama itafaa au la sababu biashara ni maelewano.
 
Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 70 liko Kiwangwa kijiji cha Lugogo kila ekari ni Tshs 600,000/= maelewano yapo. Umbali wa Km 4 toka barabara ya lami Msatta - Dar, gari inafika hadi shambani Ni eneo zurikwa kilimo cha mananasi, mbaazi, n.k. Wasiliana nami 0682 110110

hukati kwa eka kumi kumi jamani??? Ili tusio na mahela mengi tuweze kujinunulia pia au lina hati moja tayari????

Naomba jibu TAFADHALI.
 
Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 70 liko Kiwangwa kijiji cha Lugogo kila ekari ni Tshs 600,000/= maelewano yapo. Umbali wa Km 4 toka barabara ya lami Msatta - Dar, gari inafika hadi shambani Ni eneo zurikwa kilimo cha mananasi, mbaazi, n.k. Wasiliana nami 0682 110110

Lina hati?
 
Muuzie JK anaenda Ghana kujifunza kilimo cha mananasi na huko ni kwao au afanye ufugaji wa ng'ombe aliotoa Botswana.
 
Mkuu Kiwangwa laki 6? hiyo bei ni mara 2 ya niliyonunulia mwezi uliopita!

Kama ndo hivyo basi kweli thamani ya ardhi inapanda kwa kasi ya kutisha!
 
Inategemea na eneo lenyewe hiyo bei unayosema nimenunua miaka mitatu iliyopita unaweza pata hata elfu hamsini kwa ekari yapo njia ya kwenda saadan national park
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom