Nauza shamba kibaha

Nauza shamba kibaha

JBN

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
84
Reaction score
15
Shamba la ukubwa wa Ekari tatu(3) nauza kila Ekari kwa ShilingiMilioni moja na Nusu (1,500,000/=). Linapatika Wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani barabara ya Morogoro Road maeneo ya Visiga Seminary Kituo kinachoitwa Madafu, kutoka barabara ya Morogoro Roadunaingia upande wa kushoto unaposhuka Madafu ukitokea Dar umbali wa kilometasita (6) kuingia eneo la shamba pia ni barabara inayotokea Bagamoyo na Tegeta. Shambalinafaa kwa kulima na kujenga , kufuga ni maeneo ambayo pia madhehemumbalimbali wanamiliki vitega uchumi vyaokufuga kulima nakadhalika. Kwa mawasiliano nipigie 0714 404 057, 0755 033 997. Maeneohayo na wakazi wa hapo hakuna migogogoro yoyote ni sehemu salama kw a ununuziwa ardhi.
 
Back
Top Bottom