Salaam,
Nauza shamba heka 10.Zote nataka milioni 3 na nusu.
Mimi mwenyewe ndio muhusika.
Anayehitaji tuwasiliane PM, Pia nitumie na namba yako ya simu kwa maelezo zaidi.
Asanteni.
Ni jipya kivipi? Kwamba ni Pori? Lina vivutio vipi labda kama vile mito, Barabara, au??Lipo maeneo ya mvomelo sehem inaitwa stopa. Cyo mbali kutoka moro mjini. Nijipya kabisa