Nauza shamba ekari 3.5 Arusha - Kikwe

Nauza shamba ekari 3.5 Arusha - Kikwe

Njopa

Senior Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
192
Reaction score
30
Shamba lipo eneo zuri linalokua kwa haraka takriban kilometa 1.7 toka Mandela University. Shamba lipo mkabala na Chuo cha Mandela, Hort Tengeru, Usa river, barabara ya Old moshi, Mererani na Barabara ya East afrika inayotarajia kujengwa, mara unapoanza pacha ya barabara ya Mereranil baada ya mita 500 unapokuta nguzo za kwanza za miti za umeme kulia ndipo shamba lilipo. Ni mahali unapoweza kuwekeza Shopping complex, Petrol stations. Hotel au makazi n.k. Baadhi ya maendeleo mkabala na shamba hilo ni pamoja na shule mpya ya English media , Kituo cha walemavu na Kituo cha wakorea ambapo wamenunua kiwanja tayari kwa ujenzi. Eneo limekaa vizuri kwa namna nyingi, ni rahisi kufika KIA, Moshi, kuna Reli, karibu na soko laTengeru; Ngurudoto, USA river, Moshi etc, Maji ya kuchimba ni mengi ndani ya mita 15 tu lakini ya bomba yapo japo mbali kidoogo tokea shamba lilipo ila umeme upo kama mita 200 tu, Kuna miti kadhaa ya asili na vichaka. Shamba lipo kilomita 17 toka mjini Arusha na unaweza kupitia tengeru au kijenge ili kufika shambani. Bei ni 20Millions ekari o.n.o Mawasiliano 0786262635

DSC_0509.JPGView attachment 178687View attachment 178688
 
mkuu mbona mie naona picha za pori....shamba naamini ungekuwa umelima mazao yanaonekana...hilo pori mkuu ndio unauza 20m kwa ekari?...acha mambo yako bana na uwe serious mkuu.
ngoja waje wanunuzi wa mapori.
 
Ardhi yoyote ambayo haijapimwa hata kama ni kichaka wakati unanunua ni shamba though kuna ardhi nyingine huwa zimepimwa kwa ajili ya shamba. Ukute na yeye hiyo ardhi ameipimisha kama shamba hivyo tafuta ela ukamuunge mkono mwana JF mwenzetu maana hata kiwanja ukinunua unanunua kikiwa kichaka na ndio maana kwa wahandisi wa ujenzi huwa wana kipengere cha clearance of construction site kwenye zile BOQ zao za ujenzi
 
Mkuu umetoa maelezo mengi kiasi kwamba hata alieko Arusha umempoteza maana umesema lipo karibu na Ngurdoto, Tengeru na USA River na Moshi (anabaki anajenga picha). Pamoja na kwamba nipo Lake Zone kwa uzoefu Kikwe inafikika kiurahisi kama utatoka town mpaka Tengeru then unapanda hiyo barabara ya kwenda Mererani, Nambala mpaka hapo Kikwe pia unaweza ukaunganisha Moshi kutumia ile barabara ya zamani pia Arusha Mjini. Angalau ungewafafanunulia kwa kilometre ili kuwavuta kwa kuonyesha kutoka Arusha mjini ni kilometre ngapi kama utapitia Barabara ya zamani au kutokea Tengeru ni kilometre ngapi maana unaposema ni karibu na Moshi mwingine anaweza kusema shamba lipo King'ori au Kikatiti kumbe lipo hatua chache tu kutoka Arusha mjini yaani 14km from Arusha - Tengeru then unaingia Kikwe sijui kilometre ngapi ila hazizidi 10
 
bei iko juu sana mkuu, bado ni pori, hujui kuandaa pori hela inazidi ya kununua pori? shusha kidogo mkuu hili wengine tujikwamue tunapenda ila kwa bei hiyo kubwa sana
 
Nakushukuru mkuu kwa maelezo yako sahihi! sina haja ya kujazia hapo tena maana nisije vuruga ila kutoka Tengeru nadhani itakuwa kama 5 Kms, wapo watu wanadhani ni pori pamoja na mealezo yangu yanayochanganya lakini nilidhani hiyo ni picha nzuri ya kuonyesha hapo mahali ni mjini tu! nitaweka picha zingine hapa pengine hizo zimewachanganya. Bei inaweza pungua kidogo, ila jamani Arusha hizo ndio bei zetu na hapo ni kwa vile tu pale kwa sasa bado watu wanadhani mbali na wengine hawana mtazamo wa mbali, itakapoanza jengwa barabara ya Africa Mashariki, ambapo shamba langu lina beckon yake bei hii inaweza kuwa mara 3!!! hapa Arusha usishangae bei kabisa mkuu, lakini karibu kwa maongezi. Ninauza kwa sababu ya shida tu ili nipate mtaji vinginevyo miaka miwili tu toka sasa ningeuza vizuri sana. Asante

DSC_0513.JPG DSC_0507.JPG
 
bei iko juu sana mkuu, bado ni pori, hujui kuandaa pori hela inazidi ya kununua pori? shusha kidogo mkuu hili wengine tujikwamue tunapenda ila kwa bei hiyo kubwa sana

Mkuu hapo sio pori ila hapajaendelezwa tu! nilishawahi lima mara moja ila muda mrefu, ni mjini tu! Bei inaweza pungua kidogo, ila jamani Arusha hizo ndio bei zetu na hapo ni kwa vile tu pale kwa sasa bado watu wanadhani mbali na wengine hawana mtazamo wa mbali, itakapoanza jengwa barabara ya Africa Mashariki, ambapo shamba langu lina beckon yake bei hii inaweza kuwa mara 3!!! hapa Arusha usishangae bei kabisa mkuu, lakini karibu kwa maongezi. Ninauza kwa sababu ya shida tu ili nipate mtaji vinginevyo miaka miwili tu toka sasa ningeuza vizuri sana. Asante na karibu kwa maongezi
 
Shamba lipo eneo zuri linalokua kwa haraka takriban kilometa 1.7 toka Mandela University. Shamba lipo mkabala na Chuo cha Mandela, Hort Tengeru, Usa river, barabara ya Old moshi, Mererani na Barabara ya East afrika inayotarajia kujengwa, mara unapoanza pacha ya barabara ya Mereranil baada ya mita 500 unapokuta nguzo za kwanza za miti za umeme kulia ndipo shamba lilipo. Ni mahali unapoweza kuwekeza Shopping complex, Petrol stations. Hotel au makazi n.k. Baadhi ya maendeleo mkabala na shamba hilo ni pamoja na shule mpya ya English media , Kituo cha walemavu na Kituo cha wakorea ambapo wamenunua kiwanja tayari kwa ujenzi. Eneo limekaa vizuri kwa namna nyingi, ni rahisi kufika KIA, Moshi, kuna Reli, karibu na soko laTengeru; Ngurudoto, USA river, Moshi etc, Maji ya kuchimba ni mengi ndani ya mita 15 tu lakini ya bomba yapo japo mbali kidoogo tokea shamba lilipo ila umeme upo kama mita 200 tu, Kuna miti kadhaa ya asili na vichaka. Shamba lipo kilomita 17 toka mjini Arusha na unaweza kupitia tengeru au kijenge ili kufika shambani. Bei ni 20Millions ekari o.n.o Mawasiliano 0786262635

View attachment 178686View attachment 178687View attachment 178688

kk nakupa 13m nataka ekari moja...kama uko tayari tuwasiliane
 
Ok naona watu wengi wanalalamika kuhusubei..........! Nakuhakikishieni kwamba kwa bei hiyo hautakuja jutia kwa hapa Arusha na sehemu yenyewe, najua hii barabara ya EAC na mambo mengine yatayojiri bei zitakua nzuri zaidi, lakini kwa ajili ya shida na uharaka unaohitajika kama yupo mtu anahitaji nitaweza mpa kwa 15,000,000.00 kwa ekari, bei hii haina mazungumzo tena, lakini biashara ya kwanza itayofanyika ndio ya itakua ya mwisho, kwa maana kwamba akipatapatikana mteja yeyote wa kwanza akanunua hata hekari moja tu, basi sitauza tena eneo litalobaki, lakini ikawa wa kwanza huyo akahitaji zote kwa bei hiyo itakuwa sawa

Back
Top Bottom