Nauza shamba ekari 2 kimanzichana

Nauza shamba ekari 2 kimanzichana

Ganjafarmer

Member
Joined
Jun 28, 2017
Posts
92
Reaction score
111
Habari wakuu
Nauza shamba langu lipo maeneo ya kimanzichana shamba lipo karibu na maji pia lina miti ya mipapai ambayo inakaribia kutoa maua shamba libaukubwa wa ekari mbili na mipapai zaidi ya miatano shamba ni langu mwenyewe hakuna dalali documents zote zipo bei ni milioni tatu na nusu maelewano kidogo yapo sababu ya kuuza nahama kikazi anaye hitahi piga numba hii 0752428516
 
Ok ngoja nifanye mchakato

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
 
Back
Top Bottom