Lipo umbali gani toka kwenye kijiji cha karibu na umbali gani kufika mbugani kwenye gate. Natafuta sehemu ya kufanya Campsite kama patafaaHabari wakuu nina shamba la ukubwa wa hekari 6 ninaliuza kwa mil20 Shamba liko karibu na mbuga ya saadan halina mgogoro wa utata wowote atakayekuwa interested anitafute tufanye biashara 0685369349