Muhandis unaniangusha shamba LA m1 unataka hati?Lina hati?
Mhandisi
[emoji3] hati hata ya serikali ya kijiji...Muhandis unaniangusha shamba LA m1 unataka hati?
Wewe ni dalali au owner nahitaji eneo umbali toka barabara lami na bwagamoyo na cimu yakoLipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.
Unamaanisha 250k per acre mkuu?Yes eka zote nne boss
Lipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.
Bado lipo? Shuka kidogo au vipiLipo maeneo ya fukayosi ni ekari 4 na bbei yake ni 1 million,, tuwasiliane.