Plot4Sale Nauza shamba bagamoyo bei 4.5M

Nauza shamba bagamoyo yombo lina ukubwa wa heka 1. Bei ni 4.5m installment inaruhusiwa unaweza kuanzia kulipa Kidogo kidogo. Halina udalali mm ndio mwenyewe. Namba ya simu 0762405010 nicheck
Unaruhusu installment kwa mda gani?
 
Nauza shamba bagamoyo yombo lina ukubwa wa heka 1. Bei ni 4.5m installment inaruhusiwa unaweza kuanzia kulipa Kidogo kidogo. Halina udalali mm ndio mwenyewe. Namba ya simu 0762405010 nicheck
installment kwa muda gani kumaliza?je kutoka hapo yumbo shuleni au yombo hospital kuna umbali gani mpk kwenye hilo shamba ?mimi kwetu ni miembe saba
 
Sio mbali sanaa. Ni kama mita 400 hv , unaanza na 2m nyingne unamalizia ndani ya miezi 3
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…