Plot4Sale Nauza shamba bagamoyo bei 4.5M

Plot4Sale Nauza shamba bagamoyo bei 4.5M

Nauza shamba bagamoyo yombo lina ukubwa wa heka 1. Bei ni 4.5m installment inaruhusiwa unaweza kuanzia kulipa Kidogo kidogo. Halina udalali mm ndio mwenyewe. Namba ya simu 0762405010 nicheck
installment kwa muda gani kumaliza?je kutoka hapo yumbo shuleni au yombo hospital kuna umbali gani mpk kwenye hilo shamba ?mimi kwetu ni miembe saba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom