harris_shoes_collection
Member
- May 8, 2016
- 15
- 16
Hivi wazalishaji wakuu wa hii bidhaa ni nani na-watu wa wapi hasa?Nauza sandals zaView attachment 345815View attachment 345816View attachment 345817View attachment 345818View attachment 345819View attachment 345820View attachment 345821View attachment 345822View attachment 345823View attachment 345825 wadau.tuungishane basi jamani sio kupeana tu maujanja wakati wateja ndio nyienyie.hizo ni baadhi tu ya sample ila zipo nyingi na za ukweli sana.ni kwa jinsia zote na saizi zote.KARIBUNI SANA[emoji120]
sasa utazingatia lin mda ndio huu weka bei apo watu wajueNashukuru kwa ushauri.ntazingatia hilo
Ni ipi hiyo? Nikutengezee!Kuna rangi ya shanga hapo ilivyopangwa nimetamani ingekua cheni ya kiunoni
Ni ipi hiyo? Nikutengezee!
Poa. Just pm me on Saturdayhii hapa mpendwa
Poa. Just pm me on Saturday
Kumbe mpenzi wa 'ze Chachanduz'Kuna rangi ya shanga hapo ilivyopangwa nimetamani ingekua cheni ya kiunoni