nauza samsung galaxy s4 mpya bei 300000 mpya kabisa napatikana dar.
Ram 2gb
Storage 16gb
Camera 13mp
Network 2G 3G 4G lite
Android verson lolpop
Ina support hml(hml to hdmi)
Hebu angalia vizuri hapo sio gizani mkuu ni koridoni huoni kama anachezea tu hicho chakula nimempa ili asilie simu.bado hajafika umri wa kula mwenyewe akashiba.