Nauza samsung duos grand prime +

Nauza samsung duos grand prime +

Ununue 265 uje uuze 230?,unatakesha sana,hiyo ili upate mteja uza chini ya 180,000 hata siku mbili haitamaliza,hivi unajua simu unayouza inatumia processor ya mediatek sawa tu na tecno au itel?

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app


We TECNO L9 yako ukitaka kuiuza utaiuza kwa bei gani kwa mfano?
 
Msaada waungwana nilinunua simu siku ya tano tu na nimeibiwa ada ya chuo kwenye mwendokasi nauza simu yangu yenye siku sita mkononi kila kitu kipo bado mpya hata karatasi zake za pembeni zipo ina 4G na nimeweka memory card 8 GB camera nzuri sana 8 Mp na 5 mp with led flash android version 6 mashmarrow

Ili nipate ada inabidi niuze hii simu msaada wadau
Bei 230 top
0762165498 mabibo View attachment 537773View attachment 537774View attachment 537775View attachment 537776View attachment 537778
0693 300 471 tuma picha kwenye number iyo tumalize biashara
 
We TECNO L9 yako ukitaka kuiuza utaiuza kwa bei gani kwa mfano?
Hii nilinunua 350,000 nikitaka kuuza sitauza zaidi ya sh 200,000
3fc5f75b741a3795a2989987abaded9e.jpg

Grand prime plus hiyo inauzwa kuanzia sh 180,000

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom