nauza samsung chat 222 "duos"

daisyvicky

JF-Expert Member
Sep 22, 2012
341
250
wakuu nauza hiyo simu,meitumia for six months,ipo kwenye hali nzuri,ina internet,bluetooth,ni double line na ina redio....plus QWERTY keyboard..naiuza kwa sababu nataka kubadili simu ,bei maelewano..mteja ni mfalme.ambae atakua interested anakaribishwa
 

daisyvicky

JF-Expert Member
Sep 22, 2012
341
250
mkuu Ngosha,thats why nlisema bei maelewano...mteja anataja bei then nikiridhika nayo nampa simu.anyway kwa 65k mtu anachukua
 

ngosha2011

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
683
225
Sema upewe hela,au weka namba sasa unaweka tangazo halafu unasepa,nitafute me kwa 0755065418
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom