Nataka namba ya mtengenezaji wa matenki oli nimpe maelekezo ya ninachokitaka kabla sijanunua samakimatanki ya vioo vyakula vyao na pampu najua vinapouzwa sio tatizo
Naweza kupata canister filter kubwa ya tenk kubwa la lt500sawa
Bei gani ?...na kama kuna kubwa zaidi niambue na bei yake...nataka kuweka tenki jipya kubwa
Mimi nina tank la kioo la lita 80 gharama za kufungiwa pamp na taa itakuwa kias gani? Na je una aina zote za samakikubwa laki nne taa pampu ndan
taa 25elfu ya rangi tatu napampu si nzuri tumia sponji filter ya elfu 25 & pampu ya elfu 25 So pampu unaichomeka kwenye sponji filter inasafisha maji na kutoa bublesMimi nina tank la kioo la lita 80 gharama za kufungiwa pamp na taa itakuwa kias gani? Na je una aina zote za samaki
sawa ntakuja hapo kwasasabu nakufahamu.appoh 19:59 Today
nauza
samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo
black more
shiling 10000 kwa pea
serfin more
shiling 10000 kwa pea
orange more shiling 10000 kwa pea gapi
wekundu
shiling 10000 kwa
pea gold fish
shilingi10000 kwa pea. Bei zinaambungua na
zinazungumzika
Mawasiliano 0712505049
napatikana banana ,ukonga kuvuka reli mita mia hamsini kutoka aviation house au bigjohn pub
Ujasiriamali umeuanza siku nyingi....hadi sasa uko kwenye nguvu za kiume0712505049 nyongeza zipo za kutosha ukinunua pair tano na zaid