Nauza samaki wa mapambo

Nauza samaki wa mapambo

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,824
Reaction score
3,089
appoh 19:59 Today

nauza

samaki wa mapambo
aina tofauti kama zifuatavyo

black more
shiling 10000 kwa pea

serfin more
shiling 10000 kwa pea

orange more shiling 10000 kwa pea gapi

wekundu
shiling 10000 kwa


pea gold fish
shilingi10000 kwa pea. Bei zinaambungua na
zinazungumzika
Mawasiliano 0712505049


napatikana banana ,ukonga kuvuka reli mita mia hamsini kutoka aviation house au bigjohn pub
 
Weka picha tuone anafaa yupi kuliwa kati ya kwenye picha na wa kwenye maji.
 
utabebewa hadi kwako kama utachukua wengi
 
Tanki la kufugia pamoja na vikorombwezo vyake unavyo pia!
 
ukiitaji picha ninazo nimeshindwa kuattach hapa ila ninzao whats app 0712505049
 
ntakuletea popote ulipo dar na hata mikoani ninasafirisha
 
sawa tumekuelewa ,je ile ya aquarium ya chupa unayo? nataka wawili wa gold ,kesho tuwasiliane tu naomba namba yako
 
sawa tumekuelewa ,je ile ya aquarium ya chupa unayo? nataka wawili wa gold ,kesho tuwasiliane tu naomba namba yako

0712505049 kwelamu itapatikana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom