ormystatus
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 262
- 464
Nimeweka uzi mwingine niliukosea, ngoja niufute aisee, samahaniBila picha mkuu wengine hatuwajui ujue
Ni quote nione kwenye huo uziNimeweka uzi mwingine niliukosea, ngoja niufute aisee, samahani
SawaNi quote nione kwenye huo uzi
Kwasasa wengi wapo changu kibua moaka uweke oda, ukusanyiwe bossKibua vipi?
Changu Ni wazuri sana kwa soup + chapati 😋😋😋Namba: 079 531 536 9
Changu: Kilo 9,500/=
Wapo Mafia, dakika 40 tu kwa usafiri wa ndege mpaka Dar.
Wahi kuweka order yako, ikifika kilo 50 wanaletwa.
Wafanyabiashara wa Jumla pia mzigo unapatikana. Usiogope kuweka order.
Namba: 079 531 536 9
Ahsante sana mkuu . Nalipa kwanza au nikipokea mzigo ndo nalipa?
Sana twendeni kwenye ule usi mwingine huu nilikosea kuandika .Changu Ni wazuri sana kwa soup + chapati 😋😋😋
Kilo 3Namba: 079 531 536 9
Changu: Kilo 9,500/=
Wapo Mafia, dakika 40 tu kwa usafiri wa ndege mpaka Dar.
Wahi kuweka order yako, ikifika kilo 50 wanaletwa.
Wafanyabiashara wa Jumla pia mzigo unapatikana. Usiogope kuweka order.
Namba: 079 531 536 9
View attachment 3537651View attachment 3537652View attachment 3537653
Naomba namba kaka ndo naanza kuchukua oda hapa, au nicheki kwa namba hiiKilo 3
Kaka huyo ngoja niulize wataalamu walio site kukusanya mzigo.Huyu mwenye mdomo mrefu anaitwaje
Ukipokea mzigo ndo unalipa kaka., naomba namba yako au nitafute kwa namba yangu hiyo.Ahsante sana mkuu . Nalipa kwanza au nikipokea mzigo ndo nalipa?
Seriously nahitajika kg3 location tutaambiana kwa simu.
Nikahisi labda upo huko huko site mkuu. Nahitaji nipo DSM.Kaka huyo ngoja niulize wataalamu walio site kukusanya mzigo.
Au hapa kama kuna mtu anamfaham atusaidie.