Nauza samaki Sangara kwa bei ya jumla

Nauza samaki Sangara kwa bei ya jumla

alphonce.NET

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,721
Reaction score
6,075
Nauza samaki sangara wabichi toka Mwanza kwa bei ya jumla kwa wenye mabucha na wahitaji wengine walio Dar na maeneo jirani.

Kiwango ni kuanzia kilo 100 kuendelea.
Bei ni sh 6,500/= kwa Kilo
Malipo ni tunapokufikishia mzigo

Simu/Whatsapp: 0767659145
Simu: 0787659145
Simu: 0620246040

sangara-768x755.jpeg


Masaihost.com
Cheapest, Quality Web Designing and Hosting solutions
www.masaihost.com
 
Nauza samaki sangara wabichi toka Mwanza kwa bei ya jumla kwa wenye mabucha na wahitaji wengine walio Dar na maeneo jirani.

Kiwango ni kuanzia kilo 100 kuendelea.
Bei ni sh 6,500/= kwa Kilo
Malipo ni tunapokufikishia mzigo

Simu/Whatsapp: 0767659145
Simu: 0787659145
Simu: 0620246040

View attachment 1390997

Masaihost.com
Cheapest, Quality Web Designing and Hosting solutions
www.masaihost.com
Lol !! Mabucha ya Dar bei ya jumla wanauza 5300 sangara.....sasa hao wa kwako sijui utamuuzia nani kwa bei hyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6500 kwa jumla bei kubwa, huku nilipo reja reja ni 6000 kwa 6500. Bei ya jumla ni Tsh. 4800 kwa 5000.
 
Back
Top Bottom