PichaJamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.
1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.
Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Mahali ilipo!?? Na kwanini uiuze!??Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.
1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.
Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Uwanja wa Ndege pale Dodoma au Songwe International Airport?Ipo uwanja wa ndege kituoni kwenye mzunguko wa watu.
Cha kuongezea ndani kuna Radio , ila TV utaweka mwenyewe.
8 Wadada wa SP ("scrub na massaging") utatafuta mwenyeweMahali ilipo!?? Na kwanini uiuze!??
Jamani ndiyo wakati wa kutoka kimaisha huu kipitia hii salon.JAMANI HII SALON INA VITU VYA KISASA NA IPO KISASA NA IMEKAMILIKA , WEWE UKIINUNUA UNAINGIA NA KUANZA KUPIGA KAZI TU.
BEI NI RAHISI SANA SHILINGI MIL.6 TU.
Luku ni ya kwako pekee yako.View attachment 1096942View attachment 1096943View attachment 1096944View attachment 1096945
Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.
1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.
Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Tupo hapa kusaidia wana Jamii forum. Kuinuana kimaisha.Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.
1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.
Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Ilikuwa inaingiza sh ngapi kwa siku? Je hiyo M6 nikiwekeza inaweza kurudi baada ya muda gani?Jamani hii SALON ina vitu vifuatavyo ndani ambavyo vinauzwa pamoja na kufanya bei ianzie Mil.6.
1. Ina Viti 2 (vya kunyolea).
2. Ina Machine 2 ( za kimarekani) za kunyolea.
3. Ina sofa mbili za wateja kusubiria kunyoa.
4. Ina Kodi iliyobaki mpaka mwezi wa August,2019.
5. Ina Luku inayojitegemea. Na ukitaka kuondoka nayo utaondoka nayo.
6. Kodi kwa mwezi ni Tzs 150,000/=.
7. Ipo sehemu nzuri sana kwa biashara hiyo maana ni kituoni.
Bei naanzia million 6 , maongezi yapo kwa anayemaanisha. Simu 0739025947
Chukua mil 4JAMANI HII SALON INA VITU VYA KISASA NA IPO KISASA NA IMEKAMILIKA , WEWE UKIINUNUA UNAINGIA NA KUANZA KUPIGA KAZI TU.
BEI NI RAHISI SANA SHILINGI MIL.6 TU.
Luku ni ya kwako pekee yako.View attachment 1096942View attachment 1096943View attachment 1096944View attachment 1096945
Muuzaji acha mbwembweWahi usichelewe acha maswali kujiuliza uliza bahati ndiyo hii ya kutoka kwako. Mimi nimeshatoka sasa hivi nimeanzisha biashara kubwa zaidi , nasafirisha majongoo bahari marekani.
NUNUA SALON NAWE UTOKE.