Gazillionaire
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 235
- 59
Nauza Rice Cooker Nzuri Original Kutoka Europe kwa sh. 63000. Iko Kigamboni kwa anaeihitaji ani PM namba yake.
Nauza Rice Cooker Nzuri Original Kutoka Europe kwa sh. 63000. Iko Kigamboni kwa anaeihitaji ani PM namba yake.
Aina gani hiyo? Mbona huku
jeshini tunazinunua elf 39, na ni kubwa na nzuri? Nazo ni original..
Punguza bei mkuu..
Bei sana hebu punguza