Nauza Rav4

Nauza Rav4

Kapi hako mkuu dikembe? Hebu tupe fununu tu maana wengine tunanunua magari kichwa kichwa.
ninachojua tabia ya Rav 4 NYINGI NI KUSTUKA STUKA KUNAKOSABABISHWA NA KUSUGUANA KWA MENO YA GEAR BOX.

Hii haijawahi kupitia tatizo hilo...na hata kama ukipata tatizo hilo linatibika kwa wataalamu pale Ilala, Yuko Fundi Kiokote amebobea kwenye GearBox za magari yenye auto transmission
 
Asante sana mkuu, nimekupata. Ila kwa RAV 4 ya model ya zamani ni mpango mzima huo. Hizi new model ni matatizo kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom