Nauza Rav4

Nauza Rav4

Aisee umefikiria mbali bro..nlikuwa sijawaza hicho kitu..duuh..!!

labda kuna kitu hamuangalii, Hamuoni hizo namba kuwa ni BZK, ukiwa mdadisi zaidi utagundua kuwa CAA ilianza kutoka october au november 2012, NA TANGU WAKATI HUO HADI LEO ndio kwaza tupo CMT kama sijakosea.
 
Hapana mkuu nilisoma vibaya tarakimu, ni 2012. Ila nimeulizia atuambie ni model ya mwaka gani kati ya 1995, 1996, 1997,1998 au 1999 ambalo ndilo toleo la mwisho kwa model hizi.
ni MODEL YA 1997
 
labda kuna kitu hamuangalii, Hamuoni hizo namba kuwa ni BZK, ukiwa mdadisi zaidi utagundua kuwa CAA ilianza kutoka october au november 2012, NA TANGU WAKATI HUO HADI LEO ndio kwaza tupo CMT kama sijakosea.

Hatupo CMT tupo CVK
 
gari zuri sana. majukumu ya kusomesha watoto yamenizonga. vinginevyo.............
 
ni MODEL YA 1997

Poa mkuu, ni nzuri tu RAV4 ni magari mazuri sana old models. Yaani hakika kama ukipata manual gear basi jua ni mpaka uamue tu kubadili gari but they are durable wakuu. Ya kwako ni manual au automatic?
 
ina automatic transmission
 
Mkuu ina tatizo lolote ambalo ni muhimu kulifahamu kabla?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom