Nauza rav4 milioni 8.5

Nauza rav4 milioni 8.5

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
73
ninauza Rav4 ikiwa katika hali nzuri sana.
Gari ni automatic
milango mitano
AC inafanya kazi vizuri
Model ya mwaka 2000
bei ni milioni 8.5
Maelewano yapo.Nitafute tufanye biashara 0656497469

IMG_20151031_120721-1.jpg


wp_ss_20160512_0001-1-1.png
 
6 M nikuijie inbox fasta mkuu. Pia weka engine na picha za ndani. I need it.
 
Inaonekana vizuri sana imesimama mwenye kununua hii ni gali spare zipo ila atwambie km ngapi mpaka sasa
 
Kupiga rangi ni vby? Usijiaibishe bwana, mm gari hua napiga rangi soon niki import gari, just kumake gari look better n in new & free from scratch.

Sasa wabongo msha-crem rangi hupigwa baada ya ajali
Mkuu umenisusa mkuu.... Siku zinakatika karibu naondoka......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom