Nauza Pumba Ngumu za Mpunga

Nauza Pumba Ngumu za Mpunga

Baiskeli

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
336
Reaction score
61
kwa yeyote mwenye uhitaji wa pumba hizo,tons nyingi tafadhali tuwasiliane ntakusupply mpaka mlangoni.
 
inachanganywa na chakula cha kuku ngombe ni nzuri sana kwa kunenepeshea mifugo, pia wanachomea tofali. mambo mengi tu mkuu.

Samahani kaka/dada, hiyo ngumu hatuchanganyi kwenye chakula cha mifugo. Hiyo inafaa kwa kuchomea matofari na kufanya matandiko kwenye mabanda ya kuku au kuweka kwenye mashamba kama mbolea. Kwenye chakula cha mifugo huwa tunatumia rice polishing (hizi ni pumba ambazo ni zile laini zenye kuchanganyika na punje za mchele), hizi ndo utakuta akina bibi wanapepeta kwa ajili ya kupata chenga za mchele wa kutengenezea unga wa vitumbua.
 
ahsante sana mkuu nimekupata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom