Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,079
Habari wana Jf,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Mimi ni mfanya biashara wa dagaa za maji chumvi Yaani baharini,maarufu Kama dagaa nyama. Ambapo end product yake huwa ni hizo pumba,ambalo linafaa Kama chakula cha kuku.
ninauza kilo moja elfu 1500/=
Kwa mawasiliano zaidi nicheki pm
Karibuni