Bei ya karatasi zake ikoje? Mfano 5*7 bei ya hizo karatasi ni tsh ngapi?
Inategemea na sheets ziko ngapi mfano 250 sheets size 5x7 bei mpaka elfu 10 mpaka 15 kutegemea na duka husika.
mm napendelea kutumia size ya A4 zinakaa sheets 20 bei 3000 mpaka 4000. Karatasi moja ya A4 unaweza kuigawa kwa size ya 4x6 zinatoka sheets 4 na sheets 2 kwa size ya 5x7 na pia ni rahisi kupatikana.
Interest yangu iko kwenye hizo sheet za 5*7 je hizo unasema sheet 250 bei yake ni tsh 10,000/= hadi 15,000/=?Inategemea na sheets ziko ngapi mfano 250 sheets size 5x7 bei mpaka elfu 10 mpaka 15 kutegemea na duka husika.
mm napendelea kutumia size ya A4 zinakaa sheets 20 bei 3000 mpaka 4000. Karatasi moja ya A4 unaweza kuigawa kwa size ya 4x6 zinatoka sheets 4 na sheets 2 kwa size ya 5x7 na pia ni rahisi kupatikana.
Mkuu umeshauzaa kama bdo npgie 0714244482Habari wakuu
Nauza printer aina ya Epson L800 imetumika miezi 4 tu ipo katika hali nzuri kabisa. Ipo moro ukihitaji unafikishiwa mahali popote ulipo.
Sifa zake ni very economic katika wino, inaprint kwa rangi na black and white, ina print picha za digital hadi ukubwa wa A4, inatoa passport size, ina print cd n.k. kwa wale wanaoijua watakuwa wanajua ubora wa hii mashine.
Any serious buyer anichek pm.
Bei laki 7, ila maelewano yapo.
Kwa dukani bei yake ina range milioni moja kwa sasa.
Epson l800 ni hii.
View attachment 348179
View attachment 348180