Nauza Plot Mbezi Shamba

Nauza Plot Mbezi Shamba

Joined
Aug 20, 2008
Posts
98
Reaction score
7
Wandugu, kama kuna mtu anahitaji kiwanja, kipo Mbezi kwa Yusufu, eneo la Michungwani, kama dakika kumi kwa gari. Kama unahitaji au una jamaa anahitaji, basi piga 0787001207. Serious buyers tu wapige. Hakina dalali. Ukubwa m 25x40. Umeme upo nguzo ipo mpakani mwa kiwanja na barabara. Bei maelewano.
 
Seriously nakiuza, bei utaambiwa ukikiona mwenyewe. Sitaki watu waogope kumbe kiwanja kizuri sana, na sitaki watu wapapatike kumbe si kionjo chao, atakae kitaka seriously, nitamuonyesha na tuongeee bei
 
haya bhana!
 
yale yaleee...sasa hapa unatangaza number zako za simu au unatangaza unauza kiwanja?ushaona wapi wewe mtu anatangaza kuuza kitu halafu bei ni mpaka umpigie simu?weka bei, watu tujue kama tuna hicho kiwango kisha tupige simu then tukaone kiwanja...kinyume na hapo...mimi kama mimi binafsi wala sijishughulishi kukupigia, maana haina maana kama nitakupigia halafu unitajie hela ambayo binafsi sina....utakuwa umeniunguzia tu credit zangu kwa simu!!
 
huyu atakuwa tapeli sio bure why anaogopa kutaja bei??
 
huyu atakuwa tapeli sio bure why anaogopa kutaja bei??

Labda ni dalali hivyo anaogopa kutaja bei ambayo ni mara mbili ya bei anayotaka mwenye mali na anahofu mwenye mali yupo humu labda.....
 
Wandugu, kama kuna mtu anahitaji kiwanja, kipo Mbezi kwa Yusufu, eneo la Michungwani, kama dakika kumi kwa gari. Kama unahitaji au una jamaa anahitaji, basi piga 0787001207. Serious buyers tu wapige. Hakina dalali. Ukubwa m 25x40. Umeme upo nguzo ipo mpakani mwa kiwanja na barabara. Bei maelewano.

Weka bei wewe maana usipoweka ndio watu wanaogopa,weka bei watu wapime kama wanaweza.
 
huyu atakuwa tapeli sio bure why anaogopa kutaja bei??
Kaka tapeli hawezi kuweka namba za simu, kwa uwa hapo ulipo hata jina langu unaweza kulipata, jifanye unaaka kutuma airtel money, lazima itakwambia unatuma fedha kwa nani! Sijui kama unalifahamu hili. Ila nyie mnaolazimisha bei lazima ni madalali, siku hizi ukijiunga unaongea mpaka basi. Basi beep nikupigie
 
Umenichekesha sana, yaani hapa wanunuzi wa vitu vikubwa hapa JF hamna, wapo wa simu na laptop tu

Hata wauzaji nahisi hawapo... Muuzaji aliye serious angesema bei ya hicho kiwanja..! Wee taja hiyo bei..!
 
Hata wauzaji nahisi hawapo... Muuzaji aliye serious angesema bei ya hicho kiwanja..! Wee taja hiyo bei..!
Haya njoo kwa m16. Kila kitu kipo, panafaa kabisa, sema siku gani nikakuonyeshe. Hata uwe Dalali, mimi sijali, ila njoo na m16
 
Back
Top Bottom