Nauza playstation 3 fat

Nauza playstation 3 fat

Kaabad

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2018
Posts
375
Reaction score
476
Kama kichwa kinavyojieleza nauza ps3 fat ikiwa complete na pad zake pamoja na games zake
Location ni Mbeya mjini, nicheki pm if interested
Nicheki kwa Whatsapp 0787632064
 
Bei 250k non negotiable
IMG-20191019-WA0006.jpeg
 
ninahitaji sana ila bajeti yangu ndogo... umeweka games zipi mkuu... nipo mbeya pia.....
Hii playstation inakuja ikiwa complete mkuu, panda hio bei labda upate ps3 yenye matatizo au incomplete.
 
Imepungua bei gani sasa
Mkuu nmeshaupdate ni 250k ambayo haishuki zaid ya hapo na kama upo mkoani natuma kwa gharama yangu yaaani kwenye hiyo 250k utatuma nauli kwanza, nikishaukatia tiketi na kampuni ya basi wakaconfirm na wewe , nakutumia number ya tiketi ndipo unamalizia kiasi kilichobaki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom