Nauza pikipiki (fekon)

CHE GUEVARA-II

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
571
Reaction score
158
Nauza pikipiki MPYA!
Mali yangu HALALI.
Mwezi mmoja haujaisha toka inunuliwe.
Imetumika kwa muda wa siku 16 tu.

SABABU YA KUUZA:
Kwangu nimeona bodaboda ni maumivu ya kichwa, muda mwingi nakuwa nawaza na kuzungumza kuhusu pikipiki moja (yaani dereva wa boda boda longolongo kibao - mara biashara mwezi huu mbaya, mara hili mara lile!)
Ukizingatia mimi nina mambo mengi na mengine ya muhimu kuliko pikipiki nimeamua kitu kimojawapo kati ya haya:
(1)Kuiuza kwa 1,600,000 Tshs (mimi nilinunua kwa 1,700,000Tshs - ukijumlisha bima na mambo mengine inafika takribani 1,800,000 Tshs)
(2)Kuitumia mwenyewe

MAWASILIANO:
0763718328
Kimara - Mavurunza

PICHA ZAKE HIZI HAPA:
 

Attachments

  • image.jpg
    364.5 KB · Views: 121
  • image.jpg
    357.3 KB · Views: 113
  • image.jpg
    446.3 KB · Views: 138

Kama 1,400,000 inalipa nitafute 0712 191791 kabla ya j5
 
Weka 1,550,000 Tshs.
Tofauti na hapo bora ikachote maji shambani kwa ajili ya kunywesha ng'ombe ilinikamue maziwa niuze.
 
Mkuu, kama uko serious ongeza tu hiyo 50,000 ili iwe 1.55M.
Otherwise sikawii ku-change mind!

Jana nilikutafuta kwa bahat mbaya ulikua bize. mm nipo magomeni m.chai unaweza kija nayo tukafanya biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…