Engine imewahi funguliwa?!??Tshs.850,000/= mkuu
Naitaka leo sipo vizuri kesho ikifika nakutaftaWadau wa jamii forum nauza pikipiki yangu aina ya TVS star hlx 125..
Napatikana Ukonga Dar es Salaam.
Price Tshs.920,000/= Hakuna udalali Mhusika ni mimi mwenyewe
Call 0652015525