ndaga fijo kyala G
Member
- Mar 30, 2015
- 17
- 2
Wadau nauza hiyo Pkpk kwa laki 7 kwa hasira maana kaniuzi Dereva wangu sina hamu tena na bodaboda nimeinyang'anya nipo mayo tu sijahangaika kwa lolote naona bora niiuze tu umiza kichwa napatikana Kimara au ubungo lkn kwa yeyote yule karibu kwa naomba 0784791233 Au 0713791233 au 0765791233.