Nauza Pikipiki aina Ya SANLG bei nzuri

Nauza Pikipiki aina Ya SANLG bei nzuri

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
pikipiki ni aina ya sanlg bei ni 1m maongezi yapo ipo katika hali nzuri na ubora mzuri, haina tatizo lolote na ukiinunua unaanza kazi huna haja ya kupitia kwa fundi, wanajua pikipiki wanajua ubora wake, nichek kwa 0713415537, picha zaidi whatsap, nipo Mwenge DSM
 

Attachments

  • Screenshot_2016-04-02-12-12-33.png
    Screenshot_2016-04-02-12-12-33.png
    146.3 KB · Views: 268
picha ingine
 

Attachments

  • Screenshot_2016-04-02-12-12-19.png
    Screenshot_2016-04-02-12-12-19.png
    36.4 KB · Views: 173
Unapatikana Wap Na Imetumika Kwa Muda Gani?
 
kila kitu imelipiwa
 
bei ni 1m maongezi yapo karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom