Nauza pikipiki aina sinoray

Nauza pikipiki aina sinoray

gondwa

New Member
Joined
May 4, 2024
Posts
4
Reaction score
4
Nipo morogoro mjini, pikipiki ni sinoray bado mpya ina miezi 4 tangu inunuliwe documents zote zipo,kwa anahitaji tuwasiliane bei TSh.2200000
 
Attachments

  • IMG-20250406-WA0005.jpg
    IMG-20250406-WA0005.jpg
    195.4 KB · Views: 36
  • IMG-20250406-WA0004.jpg
    IMG-20250406-WA0004.jpg
    199.7 KB · Views: 34
  • IMG-20250406-WA0003.jpg
    IMG-20250406-WA0003.jpg
    108.7 KB · Views: 33
  • IMG-20250406-WA0002.jpg
    IMG-20250406-WA0002.jpg
    118.7 KB · Views: 28
Nipo morogoro mjini, pikipiki ni sinoray bado mpya ina miezi 4 tangu inunuliwe documents zote zipo,kwa anahitaji tuwasiliane bei TSh.2200000
Samahani kwa usumbufu! Nilitaka tu kufahamu uliinunua shilingi ngapi?
 
hiyo Bei yake ni 1.5M kwasababu
10000*30=300,000*4=1,200,000/=
Bei ya kununulia 2.7M-1.2M =1.5M
 
Mkuu umekokotoaje? Nitoe gizani nijifunze kitu maana nami nahitaji hizi kitu.
Yaani muuzaji kesha kula military ni 1.2 tangu ainunue kwahiyo haiwezi kuwa na thamani aliyoandika yeye Bali thamani ni sawa bei ya kununulia pikipiki to uliyokula ndo bei ya kuuzia.
 
Yaani muuzaji kesha kula military ni 1.2 tangu ainunue kwahiyo haiwezi kuwa na thamani aliyoandika yeye Bali thamani ni sawa bei ya kununulia pikipiki to uliyokula ndo bei ya kuuzia.
Ebu nisaidie kujua namna kukokotoa thamani ya pikipiki used.
 
Ebu nisaidie kujua namna kukokotoa thamani ya pikipiki used.
Uliza imetumika kwa muda gani na ilinunuliwa shingapi ikiwa mpya.

Kwa bodanoda uingiza 7000-10000 kwa siku hiki ni kigezo cha jumla hata kama aliendesha mmliki then compare .

Ukizibgatia hii ni rahisi zaidi kujua how long your Honda will live
 
Hayo mapikipiki ya kichina,chukua laki 2 kwa kukuhurumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom