INAUZWA Nauza Printer EPSON L3050

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,601
4,086
-All in One Inkjet Printer i.e
A4 Printing, Copying & Scanning (Both: Black & Colored),

- Wi-Fi & USB connection.

-Nimeitumia kwa miezi minne.

-Inkpad imejaa, yahitaji kui_reset.

- Bei: 290,000/= TZS.

Mawasiliano: 0786 737 923.

Ni ya kwangu, haina udalali.

Screenshot_20190917-222248.jpeg
IMG_20190917_222124.jpeg
IMG_20190917_222034.jpeg
Screenshot_20190917-221622.jpeg
 
Mkuu mm nahitaji ila npo mikoani vp naweza kuipata be yaani kwa kuagiziwa?
 
Kwa wale wenye printer za epson na inakuletea ujumbe huu "inkpad is at the end of its service life" usichanganyikiwe wala kuwaza. Lipo suluhisho kwa gharama nafuu sana na unapata huduma ndani ya dakika kumi tu kutoka kwetu.

Pia iwapo utaelekezwa na ukashindwa kutatua tatizo, tunakuunganisha nasi mojakwamoja ofisini kupitia Team Viewer (hii ni application inayounganisha mtumiaji mmoja kwenda kwa mwingine na kumpa access mmojawao kutumia pc/android devices hata kama yupo mbali)

Karibu sana Evatony Solution tukuhudumie.
Mawasiliano: +255767086446 (calls, sms, WhatsApp na Telegram)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom