Ni brand gani izo perfume?
Na ujazo aweke!!!!!
Picha zingeeleza zaid
noma sana..mwanangu anasemaga mama nimepuliza paisumu yakoooooo hahah...naona hii angenitoa machozi ..mkuu kipato cha karne si wasakatonge hatuiwezi
unataka kununua unyunyu best? huyu muuzaji ana walakini, anashindwa hata kusema ni brand gani!!!
btw, huwa unatumia perfume gani vile?
Uhuhuuu unataka kuniletea natumia perfume inaitwa active woman
huwezi jua!..active woman ya chris adams?..noted.
basi haina shida!Ahhha yea ya chris adams ndo natumia
Ahhha yea ya chris adams ndo natumia
Na ujazo aweke!!!!!
Picha zingeeleza zaid
Ni 2.4lts
basi haina shida!
Sasa mzigo niusubir lini ahhhhhhhha lol