haahaaa, naona unajipongeza mwenyewe kwa ID nyingine,Ndo jf hyomzee watu wapo busy kukwamishana....ila nmependa ulivyowa handle[emoji2][emoji2]
Fuatilia thread zangu rythm ya maneno yangu na compare rythm ya maneno ya jamaa utaona utofaut.....Nimempongeza jamaa coz kawajibu watu in a way they deserved it and in a way ambayo nsinge wajibu coz huwa sipend kutumia lugha ya ku curse.haahaaa, naona unajipongeza mwenyewe kwa ID nyingine,
Hapo unajitekenya na kucheka mwenyewe, haaaahaaaa
Fuatilia thread zangu rythm ya maneno yangu na compare rythm ya maneno ya jamaa utaona utofaut.....Nimempongeza jamaa coz kawajibu watu in a way they deserved it and in a way ambayo nsinge wajibu coz huwa sipend kutumia lugha ya ku curse.